Aisee namtafuta MTU ambaye anaitwa john ambonise au ukoo au familia ya bwana john ambonise alishawai kuwaga dokta mifugo pale magomen dsm wizarani...na aliwai kuishi namanga kwa ndugu yake yeye ni MTU wa mbeya anaitwa JOHN AMBONISE
Umenena vyema kabisaKwa nini usiende maeneo aliyokuwa anafanya kazi ukamuulizia?
Au mtaa aliokuwa anakaa, haikosi kukawa na watu ambao wana mawasiliano naye.
Kwa hali ya sasa ya kiserikali huwezi kuja JF na ID fake ukaanza kumuulizia mtu ukapewa majibu sahihi.
Ni mda mrefu tangu mwaka 2004...na pale wizaran wengi washabadilishwa badilishwa wengne so wengi pale ni wapya awamjui na kule namanga nyumba iliuzwa walipohamia kwa uyo MTU aliyekuwa anakaa naeKwa nini usiende maeneo aliyokuwa anafanya kazi ukamuulizia?
Au mtaa aliokuwa anakaa, haikosi kukawa na watu ambao wana mawasiliano naye.
Kwa hali ya sasa ya kiserikali huwezi kuja JF na ID fake ukaanza kumuulizia mtu ukapewa majibu sahihi.
Asante sanaStanzania
Ni mda mrefu tangu mwaka 2004...na pale wizaran wengi washabadilishwa badilishwa wengne so wengi pale ni wapya awamjui na kule namanga nyumba iliuzwa walipohamia kwa uyo MTU aliyekuwa anakaa nae