Huyu dogo na yule Juma Abushiri aka Chuga Boy ukiwaangalia kwa haraka wakiwa nje ya uwanja, unaweza kuwachukulia poa sana. Ila wakiingia uwanjani ndiyo utagundua wana kipaji kikubwa cha kusakata kabumbu.
Binafsi namtakia kila la heri. Siku akiamua kuondoka huko, basi jicho lake la kwanza liwe ni Jangwani.