Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Source??Itakua heri sanaa ..lazima tupambane
Sidhani kama inawezekana. Simu haiwezi ku-connect directly kwenye satellite.Kuna taarifa kuwa Star Link wametoa free internet kwa Tanzania ili kuwezesha mawasiliano na uhuru wa maoni.
Naomba Maxence Melo confirm hili na tuwataarifu Watanzania wote muda huu
Tupate connection aiseeUnajiungaje?
Taarifa hii ni potoshi. Lazima kuwe na wifi ya kukamata mawimbi na ku distribute.Kuna taarifa kuwa Star Link wametoa free internet kwa Tanzania ili kuwezesha mawasiliano na uhuru wa maoni.
Naomba Maxence Melo confirm hili na tuwataarifu Watanzania wote muda huu
Tunaipataje,Kuna taarifa kuwa Star Link wametoa free internet kwa Tanzania ili kuwezesha mawasiliano na uhuru wa maoni.
Naomba Maxence Melo confirm hili na tuwataarifu Watanzania wote muda huu
Siyo wifi router tuu bali unahitaji pia satellite dish.Taarifa hii ni potoshi. Lazima kuwe na wifi ya kukamata mawimbi na ku distribute.
Hii ni chai.
Lazima uwe na kit yake.Tunaipataje,
We jamaa ni mjinga mno. Internet ya Starlink unaipataje bila kuwa na vifaa vyake? Acha kukurupuka na kupost ujinga wako.Kuna taarifa kuwa Star Link wametoa free internet kwa Tanzania ili kuwezesha mawasiliano na uhuru wa maoni.
Naomba Maxence Melo confirm hili na tuwataarifu Watanzania wote muda huu
Starlink wana kifaa chao kinacho commujicate na satellite then kinatoa wifiSidhani kama inawezekana. Simu haiwezi ku-connect directly kwenye satellite.
Source:TetesiSource??Itakua heri sanaa ..lazima tupambane
Ndiyo, najua. Mimi nimesema huwezi kufanya connection kati ya simu na satellite moja kwa moja. Pia kumbuka hata ukiunga kwenye satellite kwa kutumia hicho kifaa, bado utategemea infrastructure ya nchi husika.Starlink wana kifaa chao kinacho commujicate na satellite then kinatoa wifi