Star link haiwez kuingia Tanzania na Nape yupo pale yaan Aache kampun za Airtel tigo zantel Vodacom anazopata chochote aende Kwa Elon ambae uhakika wa kupata hamnaView attachment 2512148
Serikali inasema wao ndio hawajakamilisha document na Starlink wanasema wao kila kitu tayari wanaisubiri serikali...
Yaani hiii wizara yetu,inawaambia Starlink,hawajakamilisha document!View attachment 2512148
Serikali inasema wao ndio hawajakamilisha document na Starlink wanasema wao kila kitu tayari wanaisubiri serikali...
Star link haiwez kuingia Tanzania na Nape yupo pale yaan Aache kampun za Airtel tigo zantel Vodacom anazopata chochote aende Kwa Elon ambae uhakika wa kupata hamna
TTCL ni kampuni ya mazombie watupuTTCL Customer Care ni janga
Chama cha MazombieTTCL ni kampuni ya mazombie watupu
Kuimprove service zao inahitaji investment zaidi na itapunguza faida kwa muda kitu ambacho hawapendi unless otherwise faida ikipungua watuongezee tozo ili Mambo Yao yasiyumbe.Wakuu wana ina hisa kwa hizo kampuni so si rahis but kwa positive side watakuwa wamepata competitor bora na hivyo kuwa force wa improve service zao