Star Times kuweni wastaarabu na waheshimuni wateja wenu

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
17,057
Reaction score
7,611
Ndugu zangu poleni na kazi,nawahi kula lakini ngoja nilseme hili kwenu,hivi ni kwanini kila ikiwa wkend na kila ikifika saa 1 kasoro dakika 5 matangazo yao yanakatwakatwa mpaka taharifa za habari ziishe?

Nimefanya utafiti kwa wiki 3 sasa na nimegundua ni mkakati wa makusudi ili kuwakomoa wasiolipa bills za mwezi lakini kwanini wanakata hata kwa zile 5 za bure? hawa wachina si bora tumpe Azam mwenzetu ili asaidie watz wenzie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…