Star times na matangazo ya Marehemu Kanumba

tutaweza

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
634
Reaction score
457
Sina uhakika kama hii post ilishawekwa, ila sijawaelewa hawa Star Times kuendelea kuonyesha picha za marehemu kanumba katika mabango yao wanamaanisha nini?

Wanajamii naomebeni mnieleweshe kama kimaadili ya kitanzania hili jambo ni sahihi.

Nawasilisha.
 
Hivi Bob Marley na Michael Jackson wapo hai kumbe? Nadhani hata picha za Baba wa Taifa itabidi tuziondowe pamoja na statue yake!!
 
Hivi Bob Marley na Michael Jackson wapo hai kumbe? Nadhani hata picha za Baba wa Taifa itabidi tuziondowe pamoja na statue yake!!
Its different, we ni great thinker, so think and understand nn mtoa mada amemaanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…