Ibrah
JF-Expert Member
- Mar 22, 2007
- 2,730
- 530
Wadau, Star times wamekuwa wakijisheresha kwenye redio kuwa wanaonyesha mechi za Serial A live. Nimejaribu kufuatilia hiyo channel ya Kungfu lakini sijawahi kuona hizo mechi na hata bandiko kuwa wataonyesha mechi ya Serial A lini na saa ngapi.
Wadau mnaojua au kuona Serial A live nijuzeni, Star time mechi hizo huwa wanaonyesha lini?
Wadau mnaojua au kuona Serial A live nijuzeni, Star time mechi hizo huwa wanaonyesha lini?