Star Times wanatukera wateja wao tunaitumia Antena

Wateja tunaotumia antenna Morogoro mbona mnapatikana kwa Bahati na kupotea
Morogoro StarTimes wana tatizo la kiufundi kwenye mnara wao tangu Jana. Wanalifanyia kazi jambo hilo. Nilipiga simu huko kama wewe, na pia nimewatembelea ofisini kwao phisically kujiridhisha, na wamenihakikishia ndani ya kipindi kifupi kichacho huduma zao zitarejea katika hali ya kawaida. Na wamenishauri kufunga satellite dish na sasa napata huduma mujarabu kabisa....

Ile ya antena,
kwa sababu nalipiaga gharama ya mwaka mzima, miongoni mwa ndugu, rafiki au mwanaichi wangu atanufaika nayo punde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…