Star times yaachia chaneli zake zote buree! Dstv, Azam, igeni mfano

sijui kwa nini wabongo waongo waongo kwa sana tu
 
Hii kitu inaitwa TCRA sijui kazi yao ni nini? Si walishasema free to air channels ziwe bure kweli? Zipo kama 5 hivi. Mbona hawawezi kufuatilia? Itasaidia wananchi wenye kipato cha chini kuweza kujua nchi yao inavyoibiwa madini kwa kupata habari.
 
ukiona hivyo kuna vifurushi either vinaongezwa bei au wanaingiza chaneli mpya
 
Watanzania na waafrika wanapenda mteremko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…