Star times yaachia chaneli zake zote buree! Dstv, Azam, igeni mfano

Kila ukijaza bundle wanakupa siku saba za kujiachia baada ya hapo unaona zile ulizolipia, endelea kufuatilia baada ya wiki halafu tupe mrejesho
 
Mmmh, ninachojua hawa Startimes wanafanya hivi, ukinunua kifurushi cha Bomba(12,000), wanakupa channels za Uhuru(24,000) bure kwa wiki moja(siku saba), ukinunua kifurushi cha uhuru(24,000), wanakupa kifurushi cha Kili(36,000) bure kwa wiki moja.

Wewe kama ulikuwa unatumia kifurushi cha nyota(6,000), umepewa Bomba bure kwa wiki moja then watakata. Ni kweli kuwa inahamasisha mtu kununua vifurushi vikubwa baadae as you keep enjoying good channels.
 

ni kweli Mkuu lakini Mimi sijawahi lipia tangu mwezi wa5 lakini wame niachia buree na sio Mimi tu hadi majirani zangu nao wana enjoy bureee chaneli zoote
 
Uongo mtupu!labda uko kwenu kolomije!
 
Mleta uzi ni muongo. Akapimwe mkojo
 
DStv wamesikia maoni yako hatimae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…