KirilOriginal JF-Expert Member Joined Feb 13, 2012 Posts 2,161 Reaction score 1,147 May 25, 2013 #1 Deodatus Balile unaandaa vipindi vizuri na unapata wachangiaji wazuri ila wanapokuwa wakitiririka unawakatiza na kuchomeka maswali yasiyoendana na anachoongea mchangiaji, tafadhali kaka! Mfano ni hii mada ya Jicho letu ndani ya habari wk 21.
Deodatus Balile unaandaa vipindi vizuri na unapata wachangiaji wazuri ila wanapokuwa wakitiririka unawakatiza na kuchomeka maswali yasiyoendana na anachoongea mchangiaji, tafadhali kaka! Mfano ni hii mada ya Jicho letu ndani ya habari wk 21.
Kunta Kinte JF-Expert Member Joined May 18, 2009 Posts 3,690 Reaction score 1,288 May 25, 2013 #2 Sasa mbona na wewe unakuwa kama yeye, unafungua uzi mbili zenye mada moja!! [h=3]News Alert: Deodatus balile[/h] Started by KirilOriginal, Today 08:58
Sasa mbona na wewe unakuwa kama yeye, unafungua uzi mbili zenye mada moja!! [h=3]News Alert: Deodatus balile[/h] Started by KirilOriginal, Today 08:58