Star tv kesho na Mganga- Grayson Nyakarungu-topic Malaria (saa 1:30-3:00 asubuhi

Star tv kesho na Mganga- Grayson Nyakarungu-topic Malaria (saa 1:30-3:00 asubuhi

Nyakarungu

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2011
Posts
472
Reaction score
377
nimealikwa mimi nikiwa mtumishi wa afya,kuongelea ugonjwa wa malaria...
naomba kero zenu huko hosptalini......kwani najua hakuna madawa.
 
Kwa nini dawa za maralia zinabadilishwa badilishwa wakati mbu anayeambukiza yeye haibadilishi sumu yake?????? Sio kuwa miili yetu imegeuzwa biashara? PIPOOO............................
 
Back
Top Bottom