Nyakarungu JF-Expert Member Joined May 1, 2011 Posts 472 Reaction score 377 May 2, 2011 #1 nimealikwa mimi nikiwa mtumishi wa afya,kuongelea ugonjwa wa malaria... naomba kero zenu huko hosptalini......kwani najua hakuna madawa.
nimealikwa mimi nikiwa mtumishi wa afya,kuongelea ugonjwa wa malaria... naomba kero zenu huko hosptalini......kwani najua hakuna madawa.
KIBURUDISHO JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 1,002 Reaction score 277 May 4, 2011 #2 Kwa nini dawa za maralia zinabadilishwa badilishwa wakati mbu anayeambukiza yeye haibadilishi sumu yake?????? Sio kuwa miili yetu imegeuzwa biashara? PIPOOO............................
Kwa nini dawa za maralia zinabadilishwa badilishwa wakati mbu anayeambukiza yeye haibadilishi sumu yake?????? Sio kuwa miili yetu imegeuzwa biashara? PIPOOO............................