Star TV kwenye kisimbuzi cha azamu inatatizo la picha tangu asubuhi je hawajui?

Star TV kwenye kisimbuzi cha azamu inatatizo la picha tangu asubuhi je hawajui?

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Tangu asubuhi Star Tv haioneshi picha ni sauti tu inamaanisha hawa jamaa hawajui nini kinaendelea au ujinga wao tu

USSR
 
Ni kama unasikiza Radio sasa, Watarekebisha nafikiri kuna shida ya Mfumo .
 
Kumbe Star Tv bado ipo 😃 kitambo sana
 
Back
Top Bottom