Star TV live bunge maalum

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
Nawapongeza kuwa hewani mapema tbc bado wanaduwaa ipi tv ya taifa?tufuatilie bunge kwa pamoja!
 
Tuko pamoja, naomba leo mi chadema isitake kuchafue kikao kama jana Tindu Lisu alivyotaka kulazimisha hoja.
 
Lipumba anasema mwili wa wasira unatia hofu
 
Lipumba amsifia sitta kabla ya kuchaguliwa anasema anaviwango
 
Ushaambiwa ni Tbcccm! Sasa unategemea nini hapo...
 
Wakuu hivi kura ya siri na wazi zimeishia wapi maana ilikuwa j.tatu zitolewe maamuzi sasa nimeona kimya tafadhari kwa yeyote anaye jua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…