Star TV mbona mnakatisha matangazo ya BBC Dira ya Dunia?

Star TV mbona mnakatisha matangazo ya BBC Dira ya Dunia?

Ulitaka hizo habari za uchochezi
 
Wewe ni mshamba sana!Hadi leo hujajua ya kwamba Tanzania hakuna tena uhuru wa habari?!
0659010.jpg
 
Wameakata tu ilipoanza habari ya Human rights watch juu ya uchaguzi wa Tanzania ilipoisha wamerudisha tunaendela na habari ya uchaguzi wa Marekani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nipo naangalia hapa kweli naona wanakata afu wanarudia matangazo yale yale sijui nini chanzo.
 
Hapo ndipo utajua kama utawala wa awamu hii ni wa kutupeleka kwenye nuru au gizani.

Rais Magufuli atakumbukwa kwa jitihada za kuipeleka Tanzania kwenye giza nene.
 
Back
Top Bottom