Star TV mbona mnakatisha matangazo ya BBC Dira ya Dunia?

Ulitaka hizo habari za uchochezi
 
Wameakata tu ilipoanza habari ya Human rights watch juu ya uchaguzi wa Tanzania ilipoisha wamerudisha tunaendela na habari ya uchaguzi wa Marekani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nipo naangalia hapa kweli naona wanakata afu wanarudia matangazo yale yale sijui nini chanzo.
 
Hapo ndipo utajua kama utawala wa awamu hii ni wa kutupeleka kwenye nuru au gizani.

Rais Magufuli atakumbukwa kwa jitihada za kuipeleka Tanzania kwenye giza nene.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…