Anaebisha aangalie coverage yao sasa kwenye miss tz, hii ni aibu ... Vivuli kwenye picha,mara mwanga unazd mara unapungua. Ni full miyeyusho ,halafu huyo jes k mbona anaongea kama anafanya u-mc na muda unavyozd kwenda naona akuwa mzee. Ngoja nikalale tu hamna namna ,