nmeona nijionee mwenyew vtuko hivikumbe na wewe ni magumashi tu....
mara nikalale....mara nivumilie.......
mtumza hueleweki
Yah star tv, tbc wote hamnaga ktu hata uwe na kingamz HD, channel zao cjui wanatumiag camera za megapixel 5 kma cm ya tecno M3!!!! Kwa tz afadhr ITV, EATV na TV1 ndo zina mng'ao japo vpnd vyao nao badoAnaebisha aangalie coverage yao sasa kwenye miss tz, hii ni aibu ... Vivuli kwenye picha,mara mwanga unazd mara unapungua. Ni full miyeyusho ,halafu huyo jes k mbona anaongea kama anafanya u-mc na muda unavyozd kwenda naona akuwa mzee. Ngoja nikalale tu hamna namna ,
nmehamia clouds tv , japo nako haipo shwari kwa kiwango cha azamYah star tv, tbc wote hamnaga ktu hata uwe na kingamz HD, channel zao cjui wanatumiag camera za megapixel 5 kma cm ya tecno M3!!!! Kwa tz afadhr ITV, EATV na TV1 ndo zina mng'ao japo vpnd vyao nao bado
Anaebisha aangalie coverage yao sasa kwenye miss tz, hii ni aibu ... Vivuli kwenye picha,mara mwanga unazd mara unapungua. Ni full miyeyusho ,halafu huyo jes k mbona anaongea kama anafanya u-mc na muda unavyozd kwenda naona akuwa mzee. Ngoja nikalale tu hamna namna ,
mbona ile ya kisiasa walkuwa wanajtahdStar TV baada ya kujitisha jukumu LA TBC ccm,wanepoteza dira
jaman hii show ndo ya kulpia kiinglio laki?Bora hata wao ' wamethubutu ' ila Clouds tv ' wamejiaibisha ' mno na ni muda ' muafaka ' sasa kwao kuacha ' kiherehere ' Waganda wa nchini Uganda husema ' lugezigezi '.
jaman hii show ndo ya kulpia kiinglio laki?
we nae ,eti mbunye ha ha ha, kama buk5 tuKwahiyo Wewe ulikuwa unataka uone hizo ' mbunye ' 30 tena ' mubashara ' kabisa kwa buku tatu tu Mkuu?
We jamaa mbona umewakalia kooni Clouds??? Star naona maluwe afadhali hata cloudsBora hata wao ' wamethubutu ' ila Clouds tv ' wamejiaibisha ' mno na ni muda ' muafaka ' sasa kwao kuacha ' kiherehere ' Waganda wa nchini Uganda husema ' lugezigezi '.
bora Nyota tv huko Mawingu picha zna mnato wa hatari...nmehamia clouds tv , japo nako haipo shwari kwa kiwango cha azam
Mkuu siku hizi mbuye ni bure kuzitazama.Kwahiyo Wewe ulikuwa unataka uone hizo ' mbunye ' 30 tena ' mubashara ' kabisa kwa buku tatu tu Mkuu?