Star tv wapo live semina bunge la katiba

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
Prof mahalu ndio anaendesha semina sasa hv
 
Mrema kama kawaida amelala fofofo
 
Mwenyekiti wa kanuni kamkaribisha amon atoe semina
 
Hivi Jussa kafanya nini???maana naona kama wanamlaumu..ila nimechelewa kuwasha Tv
 
Tunashukuru kwa Taarifa usichoke kutupa nini kinachoendelea ila nasikia Jussa alichafua hali ya hewa ikawepo sitofaham.......
 
Prof mahalu anawaambia wajumbe leo wajekuja kama wataalamu na sio kama kamati ya kanuni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…