Star wa filamu ya home alone amefariki dunia

Na alichizika snaa na unga a.k.a ngada alipoanza kuzikamata mahela,,
 
Daaah!!! Kweli dunia tunapita huyu dogo nakumbuka aliwahi kuoa mapema hata miaka 18 hajavuka sijui alijua,aaaya!! Mwenyezi Mungu ampumzishe mahala ambako alitumia nguvu kubwa kupaandaa ktk uhai wake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Aliyefariki ni yule aliye act kama baba yake na sio Dogo mwenyewe. Ila dogo kuna kipindi miaka ya katikati aliyumba sana na maunga
 
Daaah!!! Kweli dunia tunapita huyu dogo nakumbuka aliwahi kuoa mapema hata miaka 18 hajavuka sijui alijua,aaaya!! Mwenyezi Mungu ampumzishe mahala ambako alitumia nguvu kubwa kupaandaa ktk uhai wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU, KWA MAISHA YA MBELE MIAKA 18 ,UMESHAJIELEWA WEWE NI NANI SIO KAMA HUKU KWETU.NDIO MAANA KUNA MAENDELEO,SIO KAMA HUKU KWETU
 
Daaah!!! Kweli dunia tunapita huyu dogo nakumbuka aliwahi kuoa mapema hata miaka 18 hajavuka sijui alijua,aaaya!! Mwenyezi Mungu ampumzishe mahala ambako alitumia nguvu kubwa kupaandaa ktk uhai wake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio maana huwa tunasign tu mikataba bila hata kusoma na kuelewa! rudia tena kusoma....
 
Daaah!!! Kweli dunia tunapita huyu dogo nakumbuka aliwahi kuoa mapema hata miaka 18 hajavuka sijui alijua,aaaya!! Mwenyezi Mungu ampumzishe mahala ambako alitumia nguvu kubwa kupaandaa ktk uhai wake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu si utulie kidogo USOME na kupata ujumbe ndio u-comment??? Hakuna anayekukimbiza🙂
 
Kuna watu hawajaelewa huu uzi..ngoja tuwapotezee tu
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…