Star wa Marekani Ellen DeGeneres Ametua Tanzania na mpenzi wake

Junior Clinton Mr.

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
1,075
Reaction score
1,423
IMG_20180602_110110.jpg

Mtangazaji wa Talk show kubwa nchini marekani anayefahamika kama Ellen DeGeneres ambaye amejipatia umaarufu kutokana na kipindi chake kuwa na mvuto zaidi kwa sababu ya maudhui yake yalivyokuwa yakihusisha mastaa mbalimbali, Utani na hata baadhi ya story zinazowavutia zaidi mashabiki.

Sasa Good news ni kwamba star huyo wa Marekani yupo Tanzania na hiyo imejulikana baada ya kuonekana akiwa mbuga za wanyama na mpenzi wake Portia Derossi ambaye amepost kwenye ukurasa wake wa Instagram akionesha kuwa yupo bongo na kuandika maneno haya….>>>”Coffee break. [HASHTAG]#tanzania[/HASHTAG] @theellenshow @mlorentz23 @pjfaulstick @cliffspot @_honeybuck_” – Portia Derossi

Huwenda hii ikawa ni taarifa nzuri haswa kwenye kukuza utalii wa ndani na tukashuhudia list ya mastaa wa kubwa kuja Tanzania ikazidi kuongezeka kutokana na star huyo mkubwa ambaye ameshawai kuhoji mastaa wengine wakubwa Duniani kuja Bongo.
 
View attachment 792012

Huyu last week si walisema yuko huko kwa jirani kumbe alikua njiani tu Kuja kunako kwenyewe🙂
 
Huyu sio mtalii Bali mwanabiashara atakayechukua hela za mafala kama wewe na kurudi nazo India or wherever He is from.
Hahahahaha!!! Naona unajibu kwa unyoooonge.
 
smh! I've never seen a people so hypocrytical like the bongolalas. sasa saa hii wanajifanya hawatambui kuwa Ellen is a 😀😀
all they see is 😀😀
damn!
 
The good thing is she is marketing Tanzania than Kenya.
 
Back
Top Bottom