TV4Sale Star X smart TV inchi 43 kwa 550000

TV4Sale Star X smart TV inchi 43 kwa 550000

CEYLON

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
305
Reaction score
141
Nauza tv star x inchi 43 kwa bei tajwa.Tv hii ni smart kama unavyoiona na ipo Tegeta Dsm.Ni tv yangu halali,nilinunua dukani, ina box na vitu vyake vyote.risit ninayo. Maongezi kidogo yapo.

Kwa anayehitaji tupeane namba inbox.

Karibu
 

Attachments

  • IMG_20230327_173635_742.jpg
    IMG_20230327_173635_742.jpg
    674.7 KB · Views: 24
  • IMG_20230327_173334_735.jpg
    IMG_20230327_173334_735.jpg
    356.1 KB · Views: 27
  • IMG_20230327_071639_406.jpg
    IMG_20230327_071639_406.jpg
    593.3 KB · Views: 25
Unapatikana wapi ?

Kuna 400K hapa kama hautojali na ni reasonable kwako.
 
Unapatikana wapi ?

Kuna 400K hapa kama hautojali na ni reasonable kwako.
Umeshuka sana,nilinunua 630k mkuu dukani,Kama uko Dar,Bagamoyo,Kibaha au Chalinze tunaweza fanya biashara.
 
Back
Top Bottom