CEYLON JF-Expert Member Joined Dec 3, 2012 Posts 305 Reaction score 141 Mar 28, 2023 #1 Nauza tv star x inchi 43 kwa bei tajwa.Tv hii ni smart kama unavyoiona na ipo Tegeta Dsm.Ni tv yangu halali,nilinunua dukani, ina box na vitu vyake vyote.risit ninayo. Maongezi kidogo yapo. Kwa anayehitaji tupeane namba inbox. Karibu Attachments IMG_20230327_173635_742.jpg 674.7 KB · Views: 24 IMG_20230327_173334_735.jpg 356.1 KB · Views: 27 IMG_20230327_071639_406.jpg 593.3 KB · Views: 25
Nauza tv star x inchi 43 kwa bei tajwa.Tv hii ni smart kama unavyoiona na ipo Tegeta Dsm.Ni tv yangu halali,nilinunua dukani, ina box na vitu vyake vyote.risit ninayo. Maongezi kidogo yapo. Kwa anayehitaji tupeane namba inbox. Karibu
Kayoka JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 2,262 Reaction score 1,956 Mar 28, 2023 #2 Unapatikana wapi ? Kuna 400K hapa kama hautojali na ni reasonable kwako.
Zekoddo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 1,859 Reaction score 4,539 Mar 28, 2023 #3 Ina kipengele gani mkuu hyo TV..?
CEYLON JF-Expert Member Joined Dec 3, 2012 Posts 305 Reaction score 141 Mar 28, 2023 Thread starter #4 Kayoka said: Unapatikana wapi ? Kuna 400K hapa kama hautojali na ni reasonable kwako. Click to expand... Umeshuka sana,nilinunua 630k mkuu dukani,Kama uko Dar,Bagamoyo,Kibaha au Chalinze tunaweza fanya biashara.
Kayoka said: Unapatikana wapi ? Kuna 400K hapa kama hautojali na ni reasonable kwako. Click to expand... Umeshuka sana,nilinunua 630k mkuu dukani,Kama uko Dar,Bagamoyo,Kibaha au Chalinze tunaweza fanya biashara.
CEYLON JF-Expert Member Joined Dec 3, 2012 Posts 305 Reaction score 141 Mar 28, 2023 Thread starter #5 Yakunle said: Ina kipengele gani mkuu hyo TV..? Click to expand... Haina kipengele chochote,nina dharula ndiyo maana naiuza
Yakunle said: Ina kipengele gani mkuu hyo TV..? Click to expand... Haina kipengele chochote,nina dharula ndiyo maana naiuza
CEYLON JF-Expert Member Joined Dec 3, 2012 Posts 305 Reaction score 141 Mar 28, 2023 Thread starter #6 Kayoka said: Unapatikana wapi ? Kuna 400K hapa kama hautojali na ni reasonable kwako. Click to expand... tv bado ipo,inasubiri mnunuzi.
Kayoka said: Unapatikana wapi ? Kuna 400K hapa kama hautojali na ni reasonable kwako. Click to expand... tv bado ipo,inasubiri mnunuzi.