Stara Thomas afumaniwa LIVE!

ruanganyi

Senior Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
115
Reaction score
34


Staa wa Bongo Fleva, Stara Thomas akiwa na mumewe

Stori: Deogratius Mongela na Chande

HAYA ni madai mazito! Kwamba, staa wa Bongo Fleva ambaye juzi kati alinusa kwenye gospo ‘ikamshinda', Stara Thomas anadaiwa kufumaniwa na mumewe, Raumu Ally mpaka kufikishana polisi, Risasi Jumamosi halipitwagi na ‘ubuyu'.

Kwa mujibu wa shuhuda wa kuaminika, tukio hili lilijiri hivi karibuni nyumbani kwa familia hiyo, Tabata jijini Dar es Salaam.



Akilisimulia Risasi Jumamosi baada ya kuulizwa kama kweli fumanizi lilikuwepo, mume wa Stara alifunguka hivi: "Ni kweli ilitokea. Siku ya fumanizi nilikuwa nimesafiri, lakini nikarudi ghafla bila kumpa taarifa mke wangu.

"Nilikuwa nyumbani, yeye hakuwepo. Saa 9:00 usiku ndiyo nilimwona Stara akirejea tena akiwa amelewa. Aliletwa na gari mpaka nje ya nyumba."

"Lile gari lilisimama zaidi ya nusu nje bila kushuka mtu ndipo nikaamua kulifuata. Stara aliponiona akamwambia dereva ambaye najua ni jamaa yake, aondoe gari kwani mimi ni mume wake nitampiga.

"Nilizuia wasitoke, yule jamaa akarudi nyuma na kuniparuza kwenye mguu na tairi, nikadondoka. Niliposimama nikaokota jiwe na kulirushia gari nikavunja kioo cha mbele."

CHANZO: GPL
 
Huyu Mumewe na hicho kimwili anaendesha dude kubwa namna hii?? Huyu Dada Nilifikiri ni mshika dini sana, kumbe ndio walewale dizaini ya Flora Mbash@
 
Huyo mume nae sie, zogo la nini Mpaka unataka kutiwa ulemavu bure, kama wamechokana basi la anataka kuambiwa ameoa star avumilie ...
 
Ngoma yenyewe kubwa kishezi bila kitu cha arachuga jamaa hawezi kumfikisha
 
hivi hao wanaozunguka usiku na mchana kufanya kazi ya kufumania wao hawachepuki au ni watakatifu???jamii ya kitanzania ipo nyuma sana
 
hivi hao wanaozunguka usiku na mchana kufanya kazi ya kufumania wao hawachepuki au ni watakatifu???jamii ya kitanzania ipo nyuma sana

Kazi yao kuandika ya wenzao lakini yao na familia zao hawayaweki magazetini...
 
zamani ma babu zetu wakisafiri wakirudi hawafiki nyumbani kwanza wanapitia kwa majirani na kutanguliza mzigo na ujumbe kuwa mzee amerudi ili tu kama bibi ana mtu amtoe haraka. HAYA MAMBO YA KUFUMANIANA HAYAKUEPO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…