ila stara ni mzuri......
ila stara ni mzuri......
Kila mbuyu na mzimu wake!!!!!
Mzuri macho! !! Kungine fumba macho! !
Jamani maso mie, niko hoi kwa huyo Stara.....ila stara ni mzuri......
Huyu Mumewe na hicho kimwili anaendesha dude kubwa namna hii?? Huyu Dada Nilifikiri ni mshika dini sana, kumbe ndio walewale dizaini ya Flora Mbash@
"aliyekuwa staa".... mengine ts up to her
Wasiwasi wa mapenzi....
Matatizo ya vibamia ndo haya!!!
Si kaokoka huyo Stara
Stara Thomas akilewa huwa hajitambui na pombe huwa zinashuka chini.
Nimewahi kutana nae Karimjee Hall alichoniambia sikuamini maana nilikuwa namheshimu sana
Alikwambiaje? tujuze basi
Kwa heshima yake kidogo iliyobaki siwezi kusema hapa alicho-demand. Lakini alikuwa amelewa na pombe zikashuka kunako mali adimu😀