Starbucks Yafungua mgahawa wake wa kwanza Milan, Italy

Starbucks Yafungua mgahawa wake wa kwanza Milan, Italy

isaya mgwasi

Member
Joined
Jun 1, 2015
Posts
46
Reaction score
36
Starbucks imefungua mgahawa wake wa kwanza nchini Italia. Mgahawa huo umefunguliwa katika Jiji la Milan, kaskazini mwa nchi hiyo. Mojawapo ya kahawa zinazouzwa ni inayotoka Tanzania na inapatikana hapo kwa TZS 22,000 kwa gramu 100.

IMG_20180908_180455.jpg

IMG_20180908_180457.jpg
 
Kampuni maarufu ya kuuza kinywaji cha kahawa ya View attachment 860601Starbucks imefungua mgahawa wake wa kwanza nchini Italia. Mgahawa huo umefunguliwa katika Jiji la Milan, kaskazini mwa nchi hiyo. Mojawapo ya kahawa zinazouzwa ni inayotoka Tanzania na inapatikana hapo kwa TZS 22,000 kwa gramu 100.
Ina maana hiyo kahawa kilo moja ni sawa na shs 220,000 za Tz.

Je, kahawa hiyo wanainunua bei gani kwa kilo toka kwa mkulima wa TZ?

Tujitahidi sana kuongeza thamani ya mazao yetu.
 
Kahawa ina hela sana. Hapo kilo moja inaenda 220,000. Serkali yetu ingekomaa na kuwasaidia watu kujenga viwanda vya kahawa tungesonga sana. Biashara ya kahawa kwa mwaka dunia kote ni zaidi ya $70 bln.
Naitamani hii biashara sijui nafanyaje? Ili niifanye mtaji sio shida
 
Ina maana hiyo kahawa kilo moja ni sawa na shs 220,000 za Tz.
Je kahawa hiyo wanainunua bei gani kwa kilo toka kwa mkulima wa TZ?
Tujitahidi sana kuongeza thamani ya mazao yetu.
Buku 2 jero mpaka.buku 3 jero
 
Back
Top Bottom