isaya mgwasi
Member
- Jun 1, 2015
- 46
- 36
Yeah kabisa aiseeNzuri hiyo
fanya kaziDah nitaenda siku moja na kahawa yangu niombe tu maji ya moto.
Wapi?fanya kazi
Fanya kazi weweee acha porojoWapi?
Sifanyi kazi kama mapigo ya Moyo (24 hrs) pia sipewi amri na yeyote yule kuwa nifanye kazi unapoanza kuchukua jukumu hilo naona kabisa unafaa kuwa mke.Fanya kazi weweee acha porojo
acha porojo nasisitiza ufanye kazi. Aisee na nitafuatilia ole wako nikukute unaninginiza mapoumbou!Sifanyi kazi kama mapigo ya Moyo (24 hrs) pia sipewi amri na yeyote yule kuwa nifanye kazi unapoanza kuchukua jukumu hilo naona kabisa unafaa kuwa mke.
Niahidi kama nikikuoa utazidi kunikumbusha majukumu yangu.acha porojo nasisitiza ufanye kazi. Aisee na nitafuatilia ole wako nikukute unaninginiza mapoumbou!
Fanya kazi
Ina maana hiyo kahawa kilo moja ni sawa na shs 220,000 za Tz.Kampuni maarufu ya kuuza kinywaji cha kahawa ya View attachment 860601Starbucks imefungua mgahawa wake wa kwanza nchini Italia. Mgahawa huo umefunguliwa katika Jiji la Milan, kaskazini mwa nchi hiyo. Mojawapo ya kahawa zinazouzwa ni inayotoka Tanzania na inapatikana hapo kwa TZS 22,000 kwa gramu 100.
Fanya kazi weweeeNiahidi kama nikikuoa utazidi kunikumbusha majukumu yangu.
Naitamani hii biashara sijui nafanyaje? Ili niifanye mtaji sio shidaKahawa ina hela sana. Hapo kilo moja inaenda 220,000. Serkali yetu ingekomaa na kuwasaidia watu kujenga viwanda vya kahawa tungesonga sana. Biashara ya kahawa kwa mwaka dunia kote ni zaidi ya $70 bln.
Buku 2 jero mpaka.buku 3 jeroIna maana hiyo kahawa kilo moja ni sawa na shs 220,000 za Tz.
Je kahawa hiyo wanainunua bei gani kwa kilo toka kwa mkulima wa TZ?
Tujitahidi sana kuongeza thamani ya mazao yetu.