Profee Essoree Member Joined Sep 14, 2011 Posts 36 Reaction score 5 Sep 20, 2011 #1 Me nahisi hapa TanzaniaKwetu kinachoturudisha nyuma ni starehe tu hakuna kingine! Hili wadau mnasemaje?
Me nahisi hapa TanzaniaKwetu kinachoturudisha nyuma ni starehe tu hakuna kingine! Hili wadau mnasemaje?
M Mbopo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2008 Posts 2,532 Reaction score 414 Sep 20, 2011 #2 Usirahisishe hivyo msingi wa matatizo yetu. Unadhani ni wote wanaoshiriki hiyo starehe? Kwa uwezo upi?
Usirahisishe hivyo msingi wa matatizo yetu. Unadhani ni wote wanaoshiriki hiyo starehe? Kwa uwezo upi?