notoriousic
JF-Expert Member
- Oct 14, 2016
- 425
- 484
Kula karanga mbichi na mahindi mabichi yaliyochemshwa=starehe
Asante=starehe
Zamani hapakuwepo na JF mbona??Kusoma Comments za JF na kula mambo ya kikubwa.
Hii imekuja hivi juzi tu, zamani ilikuwaje??kujiunga na jf
[emoji23] [emoji23]Kula karanga mbichi na mahindi mabichi yaliyochemshwa
Kwa upande wangu starehe yangu kubwa Mapenzi,sijaiona nyengine sio kulewa wala kuvuta bangi,wala unga,wala tafrani yoyote ile baada ya kuolewa ndio hiyo tuuuu.Wakuu ninaomba mawazo yenu kunifumbua katika hili. Je, starehe gani muhimu sana hapa duniani ambayo kila mwanadamu anastahili kuifanya/kuipitia kabla ya kifo chake??
Kula chakula ukipendacho kwa wasaa.. na uwakumbuke wenzio!!Wakuu ninaomba mawazo yenu kunifumbua katika hili. Je, starehe gani muhimu sana hapa duniani ambayo kila mwanadamu anastahili kuifanya/kuipitia kabla ya kifo chake??
mkuu we haumpendi malecela nin? mbna unapenda kuleta threads kuhus yeye na kumsema sana? tupe siri y mafanikio yako kumtaja lembabaz.....Kumfollow ndg William Samwel John Malecela huko Instagramuni