charleslee
JF-Expert Member
- Aug 4, 2016
- 408
- 200
Unamanisha uwezo wa kuao au nguvu za kufanya mapenzi?[emoji39] [emoji39] vp kwa wale wasio na uwezo katika hii kitu??
HaswaUnamanisha uwezo wa kuao au nguvu za kufanya mapenzi?
Starehe yangu kutafuna miwa kimyakimyaMoja tu muhimu kuliko zote ni KUJAMIIANA.
We' starehe huna?
Inategemea na miondoko(genres),siyo kila genre inasuuza roho.Mziki mpango mzima
Kwan wewe bata???Kuogelea kwangu ni moja ya starehe muhimu
Ukiwa mafichoni... Starehe gan hiyoCha arusha
Si kweli, hanithi anapataje starehe hii ukijali alivyo? Yaani alivyo ni kama kipofu kumhusisha na starehe ya kuona uzuri wa muonekano wa vitu au mandhari za mazingira ya dunia.starehe nzuri kuliko zote duniani ambayo mtu yeyote anapata bila kujalisha alivyo ni TENDO LA NDOA
Atajipa raha mwenyeweSi kweli, hanithi anapataje starehe hii ukijali alivyo? Yaani alivyo ni kama kipofu kumhusisha na starehe ya kuona uzuri wa muonekano wa vitu au mandhari za mazingira ya dunia.