Starehe yako ni ipi?

Mapenzi na mpenzi wangu, ganja na napenda sana kuendesha magari speed na hizi pikipiki kubwa.
Safari za mikoani napenda kutumia usafi wa pikipiki zenye speed kali!
Mmenisikia au niongeze volume?
 
Kucheki movie,pembeni mzinga wa konyagi na kete 7 za marijuana

Pembeni mama watoto ananyonya p...mb.

Mwanangu King David ameshalala muda huo saa tatu~saba

Asubuhi mapema kweny kusaka tonge

Safi sana
 
Serengeti moja baridi moja moto, huku nasikiliza ule wimbo wa hamonize wa kumsifia JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…