Starehe zamponza Okrah

Mchezaji wa kombe la dunia mbona imekuwa mapema hivyo au tulipigwa wana mthimbazi wenzangu??? But ikawe ndo tumejifunza kuwa maneno bila viteno ni kama safari ya mwehu.. Ahmadi ally alimsifu sana huyu jamaa . nawaomba wana THIMBA mleten tena mchezaji wa UEFA
 
Mkude apewe heshima yake, apewe hata uongoziii ktk club.
 
Tatizo la Okrah hapo Simba sio ulevi bali ni uchawi kwa wachezaji, kwahiyi Israel nae ni mlevi?, Vipi phili, Banda?. Kingine Okrah Karma yakutumika kumfukuza Dejan inamtafuna, Yanga Kama wanataka Winga basi Okrah anafaa.
Naweza kukubaliana na wewe tubaweza kumpa nafasi ya miezi sita tumuone
 
Reactions: Exy

Huyu jamaa akienda Yanga litakua tatizo kubwa sana kwetu, Bora aende kwao huko au timu nyingine tofauti na Utopolo....
MBONA TUNATAKA KUSAHAU MTITI WA HUYU BWANA BADO MAPEMA SANA..
 
Huyu jamaa akienda Yanga litakua tatizo kubwa sana kwetu, Bora aende kwao huko au timu nyingine tofauti na Utopolo....
MBONA TUNATAKA KUSAHAU MTITI WA HUYU BWANA BADO MAPEMA SANA..
Diarra anamjua vzuri balaa lake
 
Replacement ya foreigner haizibwi na mzawa.

Kama unamfikiria Bocco kuondoka upo sahihi ila mbadala wake ukumbuke anapaswa awe ni mtanzania

Sasa niambie kuna Striker gani hapa mzawa ambaye unamuona ana makali?

Angalia msimamo wa ligi yetu kisha mtafute Striker mzawa katika list ya wafungaji bora utakutana na Bocco huyo huyo.

Anayefuatia hapo ni Sixtus Sabilo akiwa na goli 8, lakini ukumbuke huyu sio Striker ni winga wa kulia.

Kwa hiyo ukiangalia mpaka unafika mwisho wa list ya wafungaji bora utakuta wote ni mawinga na midfielders. Ambao wote wako chini ya Bocco kwa idadi ya magoli na pia umri nao umeenda, Reliant Lusajo anacheza kwenye 33.

Sixtus Sabilo ana 28 katika umri huu Bocco alifanya makubwa lakini bado unaona hata kwa umri wake wa sasa Bocco bado hajaweza kufikiwa na Sixtus Sabilo

So unapokuja na hoja kuwa kitu fulani kifanyiwe maboresho angalau uwe na mbadala ambao ni bora na sio tu unaongea pasipokuwa na alternative, mwisho wa siku unakosa vyote viwili kwa mihemko.
 
Ongezea na mkude kwenye list ya wanaotakiwa kutoka, ambao pia ni wapiga misumari
 
Bocco ni legend.

Hauwezi kumuacha legend aende bure....bora hata akae tuu asicheze mpaka astaafu

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Leta ushahidi wa kuwa alikuwa anaonekana huko kidimbwi.lasivyo unakuwa uzushi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…