choupa moting
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,508
- 2,563
Hahaha.Imemwagiwa rangi?
Just look mkuu wangu!!! Cheki kwa makini sana braza!Hahaha.
Kwanini mkuu?
Mkuu mimi nina Cash 3M kama vipi tumalize mchezo. Nicheki PM tuyajenge
Kitu kimepigwa rangi safi kabisa...Wadau nauza gari toyota starlet. Gari iko dar na iko poa kabisa bila deni lolote.
Bei ni 4.5m. Kwa serious buyers please tukutane PM.
Hayo mnayoagiza japani hayajapigwa rangi!?Ogopa kununua gari ilomwagiwa rangi weeeee
Kukaa kimya ni vizuri piahyo ni gari au mkebe?
Rangi ya mbao dudukiller!!Imemwagiwa rangi?