unataka gari yenye kuhimili safari ndefu, yenye nguvu, yenye kukimbia, haipo kwenye hiyo orodha yako!
Ukiondoa celica ya mabishoo wasio na pesa, hizo zingine ni babywalker zetu za kutembelea mjini!
Hahahhahaaah...!! Umenichekesha sana mkuu, celica magari ya wasio na pesa n kwl kabisa
unataka gari yenye kuhimili safari ndefu, yenye nguvu, yenye kukimbia, haipo kwenye hiyo orodha yako!
Ukiondoa celica ya mabishoo wasio na pesa, hizo zingine ni babywalker zetu za kutembeleah mjini!
Asante mkuu kwa ushauriCelica namba nyingine. Injini ya Celica ni sawa sawa na ya Rav 4. Glanza nayo ni gari nzuri, fuel consuption iko poa na ni Imara. Hata Nissan Wingroad ni njema, sema spea zake ndio mpaka uzungukue zunguke sana. Vitz nayo imetulia sema kwa mwanaume haipendezi sana. Kuhusu Golf sina uzoefu nayo wa kutosha but kuna jamaa yangu namuona yuko happy nayo. Gari za Mjerumani ni Imara sema tu spea kidogo itakuw msala, mpaka uokoteze okoteze K koo. Kifupi kama hupendi makuu, go for a Toyota car...
Hahaha,so ipi nzuri mkuu?mi nimepata izo ila bado sijui nichague ipi
Tafuta subaru forester STi, sifa zote hapo inazo isipokuwa matumizi ya mkojo wa mwarabu.
habari wanajanvi, ktk kuhangaika uku na kule nimepata gari hizi zinauzwa kulingana na offer yangu,sasa sitaki kuingia mkenge ktk uimara wa gari na upatikanaji wa vipur,,kwanza kabisa ipi kati ya izi inahimiri safari ndefu,pia ni ipi ambayo inanguvu na stable barabaran hata nikikimbia inakua haichezi,pia fuel consuption iwe nzuri walau 12km/ltr.....nawakilisha
go out for toyota caldina 1998 model,spares ni cheap,hata engine yake inayotumia 7A ni cheap from 800,000 to 1000,000/= unapata engine mpya,inakimbia,inachanganya haraka,halafu ipo stable,fuel consumption inavumilika,nishawahi kuweka petrol ya 50,000/= kama lita 22. nikaenda kiwangwa karibu na msata chalinze kutokea dar na krudi safari ya jumla kama km200 nikaja kuweka mafuta mengine siku ya tatu,tena kwa kujihami,it is a nice car,i am selling mine for only 5m