Jamanieee!!
Nahitaji starlet milango mitano kwa haraka sana. Iwe automatic, rangi grey au black au red, iwe ktk hali nzuri na isiwe imetembea zaidi ya km 100000.
Kwa yeyote humu jamvini aliyenayo/anayemfahamu mtu anayeuza gari kama hilo naomba tuwasiliane hapa hapa au ani-PM, plz ur help'll be appreciated
Thanks
Kwa kusema ''haraka'' namaanisha nahitaji ambayo iko hapahapa bongo, kuagiza nje'll take a month or so, muda ambao utakuwa umeshachelewesha saaaaana.
bm21, hebu bofya hiyo link kama haitakuwa useful niite mjinga, hiyo inakupeleka tzadverts, na kunakipengele cha car 4 sale, nilipotembelea juzi niliona kuna starlet full registered & duty paid.
ninayo dark blue...iko poa.Jamanieee!!