Naandika uzi huu kwasababu naona watu wakilipukwa kwa furaha kujiandaa kutumia Starlink, internet yenye kasi, isiyo na kikomo, gharama ndogo na inashika mpaka maporini kama kingamuzi cha dstv / azam
Ni mara ya pili sio mara ya kwanza starlink wanatuma maombi , mara ya kwanza walituma lakini walizungushwa sana, wakaondoka na kuelekea Kenya, majirani fasta wakampa vibali
Starlink ni ngumu kuruhusiwa kwa mazingira yetu kwasababu haiwezi kuzimwa hasa panapotokea maandamano, uchaguzi, n.k. kama tulivyozoea kuona.
Pia kuna kipindi mambo huwa yanapamba moto huko Twitter, ili kuunguza kasi ya majadiliano yanayochochea ukosoaji kuna muda Twitter inapigwa block, Kwa starlink hii itakuwa ngumu sana
Soma Pia: Starlink yawasilisha maombi ya leseni kwa TCRA. Je, safari hii watatoboa? Ushindani wa gharama na ubora wa internet utakuwaje?