Starlink Tanzania Ltd. Set to Enter the Telecommunications Sector – A Strategic Call for Investment

Hachana na Muanzisha Thread sababu hayupo verified na JF, angalia taarifa husika toka kwa mamlaka
 
Waache wamelilia sana hiyo starlink.

Experience ni mwalimu mzuri zaidi kwa watanzania.
 
Ukisoma andiko hapo juu, huyu mleta mada sio kampuni ya Elon Musk (Space X). Huyu anatafuta wawekezaji waunganishe mtaji, Elon hatafuti wawekezaji. Ana pesa. Anahitaji leseni tu aweke miundombinu yake hapa nchini.
 
Hachana na Muanzisha Thread sababu hayupo verified na JF, angalia taarifa husika toka kwa mamlaka
''Hachana'' = achana. Swali langu lilikuwa je, tuna uhakika mwanzisha thread ndiye kampuni ya Musk? Nikasema kama nakumbuka vizuri, kumewahi kuwa na kampuni local yenye jina kama hili. Hapa tunachangia kuhusu hii thread. Hili la kuwa kuna application ya kampuni ya Musk nalijua angu mwaka jana.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…