TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Tuone mamvi Silaa kama ataruka kihunzi kilicho mshinda mtoto wa Musa toka Voda na tigoMuhimu hilo TCRA wazingatie
Tena waruhusiwe haraka, hii mitandao ina gharama za juu sana na wizi tele wa mabando.Yaani natumia router ya airtel, na Voda kwa lengo lakuwa na internet ofisini lakini kuna muda mitandao yote tabu lele,leo siku nzima inasuasua tu ,
Nimeamua kutafuta pocket router ya Tigo ndio angalau naweza ku access,wamenikwamisha pm zangu nyau wale,STAR LINK wapewe kibali muone utamu wa kupoteza wateja ili akili ziwakae sawa ,Filho da puta!
Soma Pia: Mitandao ya Simu yadaiwa kuilalamikia Starlink kwa kuongeza ushindani Sokoni
Mkuu , hawana ubavu wa kukataa, Donald Trump ndio raisi wa marekani na elon musk ndio.mshirika wake mkubwa, unategemea nini hapoHicho kitu sidhani kama kitakuja tokea sababu Serikali yenyewe inashiriki kutunyonya wananchi wake kupitia hiyo mitandao uchwara.
Ndoto za mwendawazimu!Mkuu , hawana ubavu wa kukataa, Donald Trump ndio raisi wa marekani na elon musk ndio.mshirika wake mkubwa, unategemea nini hapo
Pia katika hali ya kawaida utachagua kipi kati ya hivi
Upewe GB 50 kwa Tsh 26,000/- au
26,000/-Tsh upewe GB 9.
Japo najua mafisadi hua hawakosekani kujarib kuwaumiza watanzania kupitia kufanya wizi wa bando na garama kua juu kupita kiasi lakin kwa elon watagonga mwamba.
Sina Mengi Ila Nakazia SanaHicho kitu sidhani kama kitakuja tokea sababu Serikali yenyewe inashiriki kutunyonya wananchi wake kupitia hiyo mitandao uchwara.
Hahaha hiki nini?26,000/-Tsh upewe GB 9.
Hapo ni sawa uulize Trump ni nani Wakati unajua kabisa Trump ni dude kubwa ambalo limemfilimba yule Mama hatokaa hasahau Maisha yake yote alianza yule mke wa Clinton akamfilimba akaja huyu Muhindi Mswahili pia akafilimbwa bado unauliza Trump ni nani? Mzee wa kufilimba vimama vinavyotaka kupimana nae uwezoStar link wao ni nani!!
Mtatukana sana na kuongea shiti sana.Ndoto za mwendawazimu!
Maisha hayawezi kuwa rahisi jinsi hii!
Jinsi optic fibre ilivyoimbwa sikutarajia hii hali ya mitandao kuwa chini sana itokee.
Star link wao ni nani!!
Wizi mtupu mkuu. Wizi mkubwa sana.Hahaha hiki nini?
Naomba Menu ya Starlink na Menu ya Jerry kutoka pale kitengo nizilinganishe kwanzaWizi mtupu mkuu. Wizi mkubwa sana.
Starlink akiingia hio pesa napata GB 50 saaafi kwa mwezi.