I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Hivi karibuni kampuni ya kiteknolojia ya kusambaza huduma za internet kwa njia ya satellites ya starlink inategemea kuanza kuhudumia nchi hizo tajwa hapo juu. Inatajwa kuwa nchi hizo zitakuwa za kwanza barani Africa kutumia huduma hii.
C.E.O wa starlink bwana Elon Musk alitoa taarifa hiyo ya kupewa ruhusa nchini Nigeria na Mozambique kupitia ukurasa wake wa Twitter leo hii.
C.E.O wa starlink bwana Elon Musk alitoa taarifa hiyo ya kupewa ruhusa nchini Nigeria na Mozambique kupitia ukurasa wake wa Twitter leo hii.