I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Tutaendelea nazo tu. Starlink ni ghali sana kwa maisha yetu hapa bongo.Voda
Ttcl
ZantelTigo
Airtel
Smlile
Halotel
Itakuwaje kwenye data?
Mozambique kwenye gharama kwao ipojeTutaendelea nazo tu. Starlink ni ghali sana kwa maisha yetu hapa bongo.
Kwakweli inasikitisha. PayPal tu tumeipigania miaka nenda miaka rudi bila mafanikio.Tanzania bado Tupo kwenye gizaaaa
Tanzania si tuna ile internet ya satellite inaitwa konnectTanzania bado Tupo kwenye gizaaaa
Starlink ni Satellite Internet hao unanunua device kwao unaenda unga kwako hata kijijini huko inakubali,Voda
Ttcl
ZantelTigo
Airtel
Smlile
Halotel
Itakuwaje kwenye data?
Ndo bauliza ni mwanzo wa kuachana na kina voda?Starlink ni Satellite Internet hao unanunua device kwao unaenda unga kwako hata kijijini huko inakubali,
Hauhitaji line ya simu
Kwenye dharura hasa vita kama nchini Ukraine inatumika Toka Russia alipovamia.Starlink ni Satellite Internet hao unanunua device kwao unaenda unga kwako hata kijijini huko inakubali,
Hauhitaji line ya simu
Kina Voda ni way better than Starlink, kila siku Tunaimba sisi tupo vizuri sana kwenye Mobile data ila Ngumu wabongo kuelewa. Supakasi ni kama nusu ya Bei ya Starlink (Bei ya marekani ikija huku + kodi)Ndo bauliza ni mwanzo wa kuachana na kina voda?
Gharama za Africa (sijui kama ni rasmi nimeona tu mitandaoni)Mozambique kwenye gharama kwao ipoje
Daaah hatari sanaGharama za Africa (sijui kama ni rasmi nimeona tu mitandaoni)
-Installation $599 ambayo ni 1.4m ya kwetu
-Fee ya Mwezi $110 ni kama 260,000
-Premium installation $2500 ni kama 6m
-premium kwa mwezi $500 ni kama 1.2m
Sio mwanzo maana hawa wao ni stationary, utaifaidi nyumbani au ofisini tuNdo bauliza ni mwanzo wa kuachana na kina voda?