Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sema hii starlink kwa nchi zetu hizi za kimaskini wamefanya utu sana kuweka bei rahisi ya package.Starlink’s high-speed, low-latency internet is now available in Zimbabwe!, latest coverage till now!, below ⏬
-Tanzania tunangoja nini?, at the same time, kwa nini haipo South Africa?,
Enumerate kwa Sisi wa vifurushi vya 1000-2000/- tunaweza ambulia mb ngapi?sema hii starlink kwa nchi zetu hizi za kimaskini wamefanya utu sana kuweka bei rahisi ya package.
package ya chini kabisa inauzwa ifuatavyo katika baadhi ya nchi: (Bei zimecorvetiwa kwa USD kwa ajili ya comparison)
USA 120 Usd
CANADA 103 Usd
MEXICO UK 99 Usd
JAMAICA 45 Usd
BAHAMAS 55 Usd
ARGENTINA 59 Usd
BRAZIL 33 Usd
BELGIUM 56 Usd
SWITZERLAND 60 Usd
UK 99 Usd
AUSTRALIA 93 Usd
INDONESIA 49 Usd
SINGAPORE 85 Usd
JAPAN 47 Usd
MALAYSIA 51 Usd
ZAMBIA 30 Usd
GHANA 49 Usd
NIGERIA 24 Usd
SOUTH SUDAN 50 Usd
MALAWI 50 Usd
KENYA 50 Usd
HIVYO VYOTE NI VIFURUSHI RESIDENTIAL STANDARD.
Na kuna baadhi ya NCHI hiiki kifurushi kina MINI package yake Nchi kama SPAIN, ITALY, RWANDA
ukiondoa ile bei ya kuagizia ya kwanza hizi bei tayari wengi wanatumia kwa sasa
mkuu kwa sasa kama unatumia sana internet sehemu yako kazi iwe nyumbani au kazini ni vema kujiorganise watu 4 hivi mnadaka kwa pamoja mnashare gharama. Watu wengi wanafanya hivi kwenye router/fiber hizi za unlimited.Enumerate kwa Sisi wa vifurushi vya 1000-2000/- tunaweza ambulia mb ngapi?
Inawezekana ila mamlaka hawatakuacha salamaHivi nikiwa na Antenna ya starlink hapa Tz siwezi kuwadaka kweli Hawa watu. Mf. Niki subscribe toka Kenya afu nikaja kufunga hapa Tz na niwe Nalipa tokea Kenya. Naomba ushauri wataalam wangu
Hili linaumiza sana, mkuu, ukizingatia simu zetu siku hizi sio private, huwa zinasikilizwa kwa siri sana, mtambo wa Jpm haujatupwa upo!, 😂 kuna uzi niliwahi weka hapa, tuepuke kupanga madudu, njama, hila, uhaini na ya aina hiyo!, simaanishi yanayotokea yana uhusiano na yanayoendelea mitandaoni juu ya utekaji.
Hatari sana . Nchi yetu inapelekwa kusiko kwasabb tumechagua kuongozwa na watu wasio na maarifa, hivyo wanatumia nguvu bila sababuHili linaumiza sana, mkuu, ukizingatia simu zetu siku hizi sio private, huwa zinasikilizwa kwa siri sana, mtambo wa Jpm haujatupwa upo!, 😂 kuna uzi niliwahi weka hapa, tuepuke kupanga madudu, njama, hila, uhaini na ya aina hiyo!.
Kivipi wakati ka Antenna ni kadogo sana na nitakuwa nimekaweka kwanguInawezekana ila mamlaka hawatakuacha salama
Amen
Kuna Raia wa kigeni alikuwemo na mchina walikamatwa na ivo vifaa ikawa zengweKivipi wakati ka Antenna ni kadogo sana na nitakuwa nimekaweka kwangu