Pamoja sana brosafi sana
Babuu blessed Sijachanganya hata kidogo. Kama ulikuwa hujui ni kwamba oil ya gearbox ya hizi gari auto ndio hiyo hiyo inawekwa kwenye mkebe wa oil ya power steering. Nilishawahi kuwa na hili tatizo kwy kigari changu na kisolve hilo tatizo kwa kuweka hiyo oil ya gearbox. Uliza wataalam watakuambia.
HahahItakuwa ccm mkuu,kama una marafiki wa chama hicho achana nao
Mkuu uko sawa ila inaitwa PAS pump yaani Powee Assisted Steerring Pump. Ikifa hio steering wheel inakuwa ngumu kama za Isuzu tani 7 za zamani.Kama gari yako inatumia power steering, kuna mambo mawili ambayo huenda mojawapo linaleta shida hiyo.
- Power Steering controller imechoka (hapa utahitaji kubadili nyingine). Hii huzungushwa na belt kule kwenye injini
- Mafuta ya hydraulic ya power steering yamekwisha.
Kwanza, inaitwa "steering" siyo "starring." Tatizo hili husababishwa na mojawapo kati ya haya mambo matatu tu.Wanajamvi nini kinasababisha starring ya gari inakuwa ngumu unapokuwa unadrive hususani ktk kupiga kona?
Kwanza, inaitwa "steering" siyo "starring." Tatizo hili husababishwa na mojawapo kati ya haya mambo matatu tu.
(1) Mafuta ya steering yamekwisha. Inabid uongezee kama kweli mafuta yako ya steering yamepungua; kwa magari mengi mafuta haya ni DOT3 ila inabidi uangalie gari lako linahitaji mafuta gani..
Wanajamvi nini kinasababisha starring ya gari inakuwa ngumu unapokuwa unadrive hususani ktk kupiga kona?