kapotolo JF-Expert Member Joined Sep 19, 2010 Posts 3,727 Reaction score 2,217 Jan 17, 2011 #1 Taifa Stars a.k.a JK eleven, wameshindwa hata kupata milioni 40 za mshindi wa tano baada ya kuchapwa na Sudan 2 - 0. Tunaweza nini wandugu? sio tetesi jamani ni kweli, sorry kwa neno tetesi
Taifa Stars a.k.a JK eleven, wameshindwa hata kupata milioni 40 za mshindi wa tano baada ya kuchapwa na Sudan 2 - 0. Tunaweza nini wandugu? sio tetesi jamani ni kweli, sorry kwa neno tetesi
Ehud JF-Expert Member Joined Feb 12, 2008 Posts 2,685 Reaction score 338 Jan 17, 2011 #2 Tunaweza kiduku!
P Paul S.S JF-Expert Member Joined Aug 27, 2009 Posts 6,407 Reaction score 3,260 Jan 17, 2011 #3 Naanza kupata wasi wasi na uwezo wa kocha wetu ktk mashindano siriazi, nahisi tunarudi nyuma kama ilivyokuwa kabla ya maximo.
Naanza kupata wasi wasi na uwezo wa kocha wetu ktk mashindano siriazi, nahisi tunarudi nyuma kama ilivyokuwa kabla ya maximo.