Kabisa mkuu maana hii timu yetu ya taifa ni pasua kichwaBaada ya kutoka Uganda, naomba Taifa Stars icheze, mechi ya kirafiki na Simba. Simba iwatumie wachezaji waliobaki, achana na kina Kagere, Chama na Okwi. Walah ball possession Simba 60 Stars 40 na Stars itafungwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12]Dah! Mahaba ya hivi yanaweza pelekea mtu akajibaka mwenyewe you
Mkuu unazungumzia Simba SC ipi?aya yanaitwa mahaba niue, iyo simba kwa mpira upi? imekimbizwa na Namungo ya kwa pm kule leo iweze mziki wa starz
beki mbovu, kati pabovu hakuna cha maana simba zaidi ya utovu wa nidhamu na kelele za kujiona simba kumbe nyau tu.
Naunga Mkono Hoja.Baada ya kutoka Uganda, naomba Taifa Stars icheze, mechi ya kirafiki na Simba. Simba iwatumie wachezaji waliobaki, achana na kina Kagere, Chama na Okwi. Walah ball possession Simba 60 Stars 40 na Stars itafungwa
kwanini nyie msiombe mechi hata na gormahia si waliwafungaga waleMkuu unazungumzia Simba SC ipi?
1. Hii Simba SC yenye beki visiki ambao mpaka sasa haijaruhusu goli hata moja? Nasikia washambuliaji wa timu pinzani wakisikia wanakutana na huu ukuta wa Berlin hua wanajiuguza ili wasicheze.
2. Unazungumzia midfield ya Simba SC ipi? Hii iliyojaa mafundi kama Mkude, Kotei n.k huku benchi kukiwa na Ndemla, Mzamiru, Mo.. Hapo Kiungo bora kabisa kuwahi kushuhudiwa katika nchi zote za kusini kwa bara la Africa, Choma sijamtaja. Kwa taarifa yako tu, Simba SC kupitia hii midfield ndo timu pekee iliyo posesi sana mpira a.k.a imeupiga mwingi sana.
3. Mkuu unaijua forward ya Simba SC kweli? Ni kocha gani asiyetaka kua na MK14 a.k.a Jicho 1, "Cristiano Ronaldo wa Uganda" Okwi, "Mzee wa Kona Goli" Kichuya, "Le Capitain" Boko n.k? Nikujulishe tu idadi ya magoli tunayofunga yanaendana na namba ya mechi tunayocheza.. Mfano, mechi ya 1 tulishinda 1, ya 2 tukashinda 2, ya 3 tutashinda 3.. Ushauri wangu kwenu, waombeni TFF tukutane hata mechi ya 4 ili mpunguze walau magoli, maana tukikutana huko mbeleni ni dhahama.
NB: Kuhusu nidhamu, Bongo hii hakuna wachezaji kama Boko, Kichuya na Nyoni.
Mkuu karibu uwanja wa Taifa kesho.. Kuanzia saa 1 kamili usiku tutakua tupambana na timu bora kabisa toka Kenya.. AFC Leopards.kwanini nyie msiombe mechi hata na gormahia si waliwafungaga wale
Timu ya TAIFA haiwezi kucheza na MAVUTA BANGE.Baada ya kutoka Uganda, naomba Taifa Stars icheze, mechi ya kirafiki na Simba. Simba iwatumie wachezaji waliobaki, achana na kina Kagere, Chama na Okwi. Walah ball possession Simba 60 Stars 40 na Stars itafungwa
hamna lolote kelele tu ili muwanase mashabiki fuata upepoMkuu karibu uwanja wa Taifa kesho.. Kuanzia saa 1 kamili usiku tutakua tupambana na timu bora kabisa toka Kenya.. AFC Leopards.
Kipofu akaongozwe na kipofu mwenzieBaada ya kutoka Uganda, naomba Taifa Stars icheze, mechi ya kirafiki na Simba. Simba iwatumie wachezaji waliobaki, achana na kina Kagere, Chama na Okwi. Walah ball possession Simba 60 Stars 40 na Stars itafungwa
Uchunguzwe wewe unapatia wap viroba sio bureBaada ya kutoka Uganda, naomba Taifa Stars icheze, mechi ya kirafiki na Simba. Simba iwatumie wachezaji waliobaki, achana na kina Kagere, Chama na Okwi. Walah ball possession Simba 60 Stars 40 na Stars itafungwa