micaely michael
Member
- Jul 31, 2015
- 85
- 9
_ebu jiulize ni makocha wangapi waliopita stars..(kisha jibu )
_je unazani makocha hao toka nyuma mmbaka sasa stars inaongozwa na MKWASA kuna aliye ipeleka stars katika mashindano yoyote makubwa ..likiwemo world cup.?
_ni kombe gani kubwa duniani ambalo stars aliweza kushiliki (ni mwaka gani)..?
_ni mwaka gani stars ilionekana kutia japo matumaini...?
_mimi binafsi sitolaumu saana stars kutoka sare ya mabao 2_2 na algeria..ina bidi uilaumu stars iliyofungwa na ivory coast mwaka jana..?
_leo hii wananchi wanaungana pamoja na kusahau ya nyuma na kwenda kuishabikia timu yao ya taifa...na matokeo yake wanaendelea kujutia na kujilaumu uwepo wao uwanjani..
_unatambua kuwa asilimia kubwa ya watanzania uzipenda zaidi club za ulaya kama arsenal,man utd,man city,liverpool,chelsea,barcelona,real madrid, kuliko timu ya taifa na hata vilabu vya tanzania kama simba,yanga na azam...
_mfano ukapewa nafasi ya kuchagua wachezaji wa taifa stars utawachagua wakina nani..????