Stars set off for Kilimanjaro: Balozi Maajar, opportunity hii umeipoteza!!


Mbu,

Nimekusoma. Unajua kulaumu ni rahisi, hata mimi hapa nikitaka kwenda hukohuko kwao UK, iwapo sitawa-consult watu au vyanzo sahihi vya habari, nitaishia kulalama kama unavyosema.

Kwa upande mwingine ni kweli, labda kwa sababu mbalimbali, serikali kupitia wizara husika, haijafanya vyema ktk kutangaza vivutio vilivyopo nchini. Lakini pia ikumbukwe kuwa travel agencies wa ndani na nje, wana mchango wao ktk hili, hivyo nao watwishwe lawama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…