Stars vs Moroco in JF

Kwa jinsi mchezo unavyokwenda ni suala la muda tu kabla ya "mvua" haijaanza kunyesha.
 
Latest morocco 0-0 tanzania..... Algeria 1-0 car
 
Taifa Stars inahitaji wachezaji waanzishie darasa la elimu ya Lugha pia ukiwacha mpira, katika Game 5 zilizopita leo Taifa stars naona mpira haujatulia touch mbovu pia subiri tuone itakuwaje tunajiumiza kwa kukimbia mabio tu.
 
Duh hali yetu sio nzuri sana
 
GOALLLL Tanzania hawajui hata basics za soka kupasi mpira kwenyewe ni shida!!!
 
Kaseja naye uoga tu goli gani la kufungwa naona tumeenda kukaba sio kushambulia sasa kipindi cha pili tutabakia kuangalia Taarabt anavyocheza mpira tu... tulichotakiwa ni kushambulia sababu wao ndio wenye wasiwasi wakutofanikiwa sio sisi Taifa stars hawajui wafanyalo. tuwekee Ngassa na Jabir kipindi cha pili.
 
T/stars wamepaniki wasipotulia tutarudi nyumbani na aibu.
 
Mbingu zimeshafunguka sasa kilichobaki ni kukinga ndoo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…