Stars vs Moroco in JF

Stars wanatakiwa kutembeza kwanja (buti) angalau
kuna kaheshima fulani katakuwepo.
 
Ni dk ya 20 Morocco wamepata bao la kwanza kupitia kwa shamakh.
 
Stars wanatakiwa kutembeza kwanja (buti) angalau
kuna kaheshima fulani katakuwepo.

Nafikiri wameenza kukusikia kuhusu Buti ni Bora watembeze buti kama hawawezi kucheza Drafti la sivyo zitatembea Mianzi ya Bakora Airport pale.
 
Baooooooooooooooooooo bonge la goliiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Taifa stars oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
tz 1 mor 1
 
Hivi ndio inavyotakiwa Marehemu Abeid Amani Karume alikuwa hajui mpira anasajili mtu anayepiga mashuti na madotchi ndio inachotakiwa hapo ni kujaribu tu kila saa huwezi juwa nini kitatokea.
 
Angalau leo tulie wote uwanjani hapo. game ikiisha. Kaseja zidi kufanya mambo wewe ndio Tanzania One wengine jina tu.
 
Great Goal!!!!!!

but...

Passing is embarrassing!
Defense is horrible!

Just a little bit of pressure and they fall apart

They need to fix this shit for the second half
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…