Stars vs Moroco in JF

Safi sana nani kafunga wakuu, waendelee hivyo Tayari watapanic hao, kazeni buti vijana watz tunawategemea
 
Msiwe na wasiwasi na Juma Kaseja hayo ndio mambo yake ya kuanza kulala chini tehtehteh ana madawa yake lol!. tushamuona sana Simba akifanya hivyo.
 
Dk. 1 to halftime, Kaseja ameumia mpira umesimama.
 
Safi tunahitaji mabao mengine mawili tu kipindi cha pili...
 
Hawa sasa nikuwakimbiza wao ndio itawauma zaidi nikuwakimbiza leo kama kushindwa basi tushindwe wote uwanjani hapo sio kuweka aibu wamuweke Ngassa na Jabir waone mambo na Timu iwe Inafunguwa ili pasi zifikiane. Lile Bao si Mchezo wamesikia tu Nyavu Shwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!.
 
Naamini 1-1 itawapa motisha Stars, kwamba wanaouwezo. Waliingia kwa uoga kipindi cha 2 nahisi, ndo maana hata kumiliki mpira ilikuwa kazi. Mungu atubariki tuweze kushinda kipindi cha pili.
 
tuendeleeni kuomba tukiwawai kuwafunga moja watachanganyikiwa hawa,ngasa lazima aingie lakini yani sasa hivi, mbele mpira haukai kabisa,gli letu kama la kamati ya ufundi
 
Lazima ufikirie mara mbili mkuu tatizo kubwa la Ngisi sio mkabaji kwa mechi kama hii
kocha anatakiwa kuwa makini sana.
 
Ehehehehehehehe, Pazi. Shwaaaaaaaaaaaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…